<?xml version="1.0" encoding="UTF-8"?>
<!-- 
/**
 * Copyright (C) 2014 The Android Open Source Project
 *
 * Licensed under the Apache License, Version 2.0 (the "License");
 * you may not use this file except in compliance with the License.
 * You may obtain a copy of the License at
 *
 *     http://www.apache.org/licenses/LICENSE-2.0
 *
 * Unless required by applicable law or agreed to in writing, software
 * distributed under the License is distributed on an "AS IS" BASIS,
 * WITHOUT WARRANTIES OR CONDITIONS OF ANY KIND, either express or implied.
 * See the License for the specific language governing permissions and
 * limitations under the License.
 */
 -->

<resources xmlns:android="http://schemas.android.com/apk/res/android"
    xmlns:xliff="urn:oasis:names:tc:xliff:document:1.2">
    <string name="app_name" msgid="4699090302771328296">"Kitoaji cha Kifaa"</string>
    <string name="provisioning_error_title" msgid="6320515739861578118">"Lo!"</string>
    <string name="setup_work_space" msgid="6539913744903244870">"Weka wasifu wako"</string>
    <string name="company_controls_workspace" msgid="2808025277267917221">"Shirika lako linadhibiti kifaa chako na kukiweka salama. Unadhibiti vitu vingine vyote kwenye kifaa chako."</string>
    <string name="the_following_is_your_mdm" msgid="6613658218262376404">"Programu ifuatayo itahitaji kufikia wasifu huu:"</string>
    <string name="set_up" msgid="7012862095553564169">"Sanidi"</string>
    <string name="setting_up_workspace" msgid="6116976629983614927">"Inasanidi wasifu wako wa kazi..."</string>
    <string name="admin_has_ability_to_monitor_profile" msgid="8782160676037188061">"Msimamizi wako ana uwezo wa kufuatilia na kusimamia mipangilio, ufikiaji wa kampuni, programu na data inayohusiana na wasifu, ikiwa ni pamoja na shughuli kwenye mtandao na maelezo kuhusu kilipo kifaa chako."</string>
    <string name="admin_has_ability_to_monitor_device" msgid="4534011355086694158">"Msimamizi wako ana uwezo wa kufuatilia na kusimamia mipangilio, ufikiaji wa kampuni, programu, na data inayohusiana na kifaa hiki, ikiwa ni pamoja na shughuli kwenye mtandao na maelezo kuhusu kilipo kifaa chako."</string>
    <string name="contact_your_admin_for_more_info" msgid="6870084889394621288">"Wasiliana na msimamizi wako kwa maelezo zaidi, ikiwa ni pamoja na sera za faragha za shirika lako."</string>
    <string name="learn_more_link" msgid="3012495805919550043">"Pata maelezo zaidi"</string>
    <string name="cancel_setup" msgid="2949928239276274745">"Ghairi"</string>
    <string name="ok_setup" msgid="5148111905838329307">"SAWA"</string>
    <string name="default_managed_profile_name" msgid="5370257687074907055">"Wasifu wa kazini"</string>
    <string name="managed_profile_already_present" msgid="888277922880582498">"Tayari una wasifu wa kazini kwenye kifaa hiki. Je, unataka kuondoa wasifu huo?"</string>
    <string name="sure_you_want_to_delete_profile" msgid="3612824117836349973">"Je, una uhakika unataka kuondoa wasifu huu wa kazini? Data yake yote itafutwa."</string>
    <string name="delete_profile" msgid="7107020982626129151">"Ondoa"</string>
    <string name="cancel_delete_profile" msgid="5155447537894046036">"Ghairi"</string>
    <string name="encrypt_device_text" msgid="6762208577171389053">"Ili uendelee kusanidi wasifu wako wa kazini, utahitaji kusimba kifaa chako kwa njia fiche. Hatua hii inaweza kuchukua muda."</string>
    <string name="encrypt_device_cancel" msgid="5644516574936584926">"Ghairi"</string>
    <string name="encrypt_device_launch_settings" msgid="826115154646195837">"Simba kwa njia fiche"</string>
    <string name="continue_provisioning_notify_title" msgid="5191449100153186648">"Usimbaji fiche umekamilika"</string>
    <string name="continue_provisioning_notify_text" msgid="3027317630111909095">"Gusa ili uendelee kusanidi wasifu wako wa kazini"</string>
    <string name="managed_provisioning_error_text" msgid="7063621174570680890">"Haikuweza kusanidi wasifu wako wa kazi. Wasiliana na idara yako ya Teknolojia ya Habari au ujaribu tena baadaye."</string>
    <string name="managed_provisioning_not_supported" msgid="6582227325719911795">"Kifaa chako hakitumii wasifu wa kazini"</string>
    <string name="user_is_not_owner" msgid="4358772243716976929">"Wasifu wa kazini unahitaji kusanidiwa na mmiliki wa kifaa"</string>
    <string name="managed_provisioning_not_supported_by_launcher" msgid="8710138269807942163">"Wasifu wako wa kazini hauwezi kutumiwa na kifungua programu hiki. Itabidi ubadili hadi kifungua programu kinachooana."</string>
    <string name="cancel_provisioning" msgid="3408069559452653724">"Ghairi"</string>
    <string name="pick_launcher" msgid="4257084827403983845">"Sawa"</string>
    <string name="default_owned_device_username" msgid="3915120202811807955">"Mtumiaji wa kifaa cha kazini"</string>
    <string name="setup_device" msgid="6725265673245816366">"Sanidi kifaa chako"</string>
    <string name="progress_data_process" msgid="7099462614425874283">"Inachakata data ya usanidi..."</string>
    <string name="progress_connect_to_wifi" msgid="9214694010080838763">"Inaunganisha kwenye Wi-Fi..."</string>
    <string name="progress_download" msgid="4995057798189799156">"Inapakua programu ya msimamizi..."</string>
    <string name="progress_install" msgid="9169411715762296097">"Inasakinisha programu ya msimamizi..."</string>
    <string name="progress_set_owner" msgid="1292946927202510987">"Inasanidi anayemiliki kifaa..."</string>
    <string name="device_owner_cancel_title" msgid="7909285135975063120">"Ungependa kuacha kusanidi?"</string>
    <string name="device_owner_cancel_message" msgid="7928007377743469904">"Una uhakika unataka kuacha kusanidi na unataka kufuta data iliyomo kwenye kifaa chako?"</string>
    <string name="device_owner_cancel_cancel" msgid="1052951540909389275">"Ghairi"</string>
    <string name="device_owner_error_ok" msgid="2556654993515978854">"SAWA"</string>
    <string name="device_owner_error_reset" msgid="1609782972753569267">"Weka upya"</string>
    <string name="device_owner_error_general" msgid="5962462955470123776">"Haikuweza kusanidi kifaa chako. Wasiliana na idara yako ya Teknolojia ya Habari."</string>
    <string name="device_owner_error_already_provisioned" msgid="1902305486832057049">"Kifaa hiki tayari kimesanidiwa"</string>
    <string name="device_owner_error_wifi" msgid="4256310285761332378">"Haikuweza kuunganisha kwenye Wi-Fi"</string>
    <string name="device_owner_error_hash_mismatch" msgid="184518450016295596">"Haikuweza kutumia programu ya msimazi kutokana na hitilafu ya checksum. Wasiliana na idara yako ya Teknolojia ya Habari."</string>
    <string name="device_owner_error_download_failed" msgid="4520111971592657116">"Haikuweza kupakua programu ya msimamizi"</string>
    <string name="device_owner_error_package_invalid" msgid="3816725179069202140">"Haiwezi kutumia programu ya msimamizi. Inakosa vipengele au ina hitilafu. Wasiliana na idara yako ya Teknolojia ya Habari."</string>
    <string name="device_owner_error_installation_failed" msgid="684566845601079360">"Haikuweza kusakinisha programu ya msimamizi"</string>
    <string name="device_owner_error_package_not_installed" msgid="6095079346537408556">"Programu ya msimamizi haijasakinishwa kwenye kifaa chako"</string>
</resources>